Nimejibu, Nimeuliza, Mkoloni, Ninini Alilofikiria Kuvunja, Kufuja, Kufutilia, Hata Lugha Yote Kupotea Mila Desturi, Fikira Maudhui Ukweli Tuliojua Uongo Tumejivalisha Koti, Shati, Tai, Kwa Ukoloni Twajidai
~ James Adolwa
A little 1960's style Swahili Poetry.
No comments:
Post a Comment