Adhabu ya kaburi aijua maiti: The torture of the grave is only known by the corpse
Baada ya dhiki faraja: After hardship comes relief
Chombo cha kuzama hakina usukani: A sinking vessel needs no navigation
Fadhila ya punda ni mateke: Gratitude of a donkey is a kick
Ganda la mua la jana chungu kaona kivuno: The skin of yesterday's sugarcane is a harvest to an ant
Usicheze na simba, ukamtia mkono kinywani: When you play with a lion, do not put your hand in its mouth (that would be going too far!)
Ucheshi wa mtoto ni anga Ia nyumba: The laughter of a child lights up the house
Kinywa ni jumba la maneno: Mouth is the home of words
Machoni rafiki, moyoni mnafiki: Friendly in the eyes, a hypocrite at heart
Mama nipe radhi kuishi na watu kazi: Mother, give me your blessings; living with people is really tough
No comments:
Post a Comment